Biography
Prof Ibrahim Hamis Juma
Chairman of the CommissionKwa niaba ya Menejimenti na watumishi wote wa Tume ya Utumishi wa Mahakama,ninayo furaha kuwakaribisha kwenye Tovuti yetu mpya ambayo imetengenezwa kwa lengo la kuhabarisha umma juu ya kazi zinazofanywa na Tume ya utumishi wa mahakama, Pia kuufahamisha umma kuwa kamati zetu za maadili za mikoa na wilaya kwa sasa zinafanya kazi kwa ufanisi mkubwa na mwananchi yeyote mwenye lalamiko la kimaadili hasisite kutembelea kamati zetu.
Tume ya Utumishi wa mahakama pia inatoa ajira kwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania,kwa habari zaidi tafadhari endeleeni kutembelea Tovuti Yetu.
Imetolewa na:-
Prof Elisante Ole Gabriel
Katibu Tume ya Utumishi wa Mahakama.